N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 846 Reaction score 870 Aug 13, 2014 #1 Naomba wakuu mnishauri wapi naweza pata mbegu original nyanya nipo Dar es Salaam ni aina ya tanya na rio grande nataka kulima Dodoma nyanya Mwez wa kumi
Naomba wakuu mnishauri wapi naweza pata mbegu original nyanya nipo Dar es Salaam ni aina ya tanya na rio grande nataka kulima Dodoma nyanya Mwez wa kumi
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,515 Jul 25, 2015 #2 Mkuu usithubutu kulima mbegu ya Tanya ilichonifanyia ni siri yangu!,wewe lima Rio glande au Mwanga,utacheka.
Mkuu usithubutu kulima mbegu ya Tanya ilichonifanyia ni siri yangu!,wewe lima Rio glande au Mwanga,utacheka.