Natafuta Mbao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Mbao

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MABAGHEE, Jun 17, 2011.

 1. M

  MABAGHEE JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Natafuta mbao ambazo zimeshatumika 2*4 pcs 100 na 1*8 au 1*10 pcs 60. Maeneo ya Mbezi beach, Tegeta, ubungo na Mbezi Mbezi Morogoro road. Piga au sms 0754692008.
   
 2. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unatafuta za wizi kwenye masite nini, kwanini zilizotumika?
   
 3. M

  MABAGHEE JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbona nguo tunavaa za mitumba? sio lazima kuandika chochote kama huna msaada.
   
 4. Rocket

  Rocket Senior Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu bado unatafuta!!!nijulishe
   
 5. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,489
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Mbao zilizotumika uwa zinakodishwa Kariakoo kwa wale wanaojenga maghorofa. Jaribu kuwaona ukikuta sehemu wanajenga ulizia watsakuelekeza bila tatizo inapunguza sana gharama za ujenzi mimi nilitumia mbao used kwa kuzikodi kwa bei kidogo na nilipomaliza kazi nikazirudisha kwa wenyewe
   
 6. b

  bwanaharusi Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mimi ninazo mbao lakini kwa ajili ya kupeleka nje ya nchi

  natafuta soko
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hata kama mteja wa ndani atatoa dau kubwa? Natafuta teak kama unaweza kupata ni PM nitakuunganisha na wateja wa nje wazungu tena wa ulaya.
   
Loading...