Wakuu heshima zenu!nimefungua ki hardware kangu huku dar!sasa nilikua nahitaji mbao hizi ambazo hazina dawa kwa kuanzia!kama kuna yeyote ambaye anaifanya hii business hebu atangaze biashara yake hapa!naweza nikawa mteja wake!Size ya hizo mbao ni 1x10,1x8,1x6,2x4,2x6.
Pia anaweza akaniwekea na bei ya semi trailer nzima then tuta discuss jinsi ya kulipana!
Nawasilisha!
Au kama unaona noma kumwaga bei zako hapa!dondosha namba yako ntaku call.
Nawasilisha
Pia anaweza akaniwekea na bei ya semi trailer nzima then tuta discuss jinsi ya kulipana!
Nawasilisha!
Au kama unaona noma kumwaga bei zako hapa!dondosha namba yako ntaku call.
Nawasilisha