Natafuta mayai kwa bei ya jumla

Natafuta mayai kwa bei ya jumla

kibonge90

Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
53
Reaction score
42
Habari zenu,

Natafuta mayai ya kisasa kwa Bei ya jumla Kama trei 100 kwa week. Nachukua kwa Bei ya shamba ya Sasa au ikizidi basi iwe kiasi kidogo ambacho naweza kukimudu.

Tuwasiliane kwa namba 0712790639

Asante
 
Mayai gani ya kwale?
 
Bei jumla kwa sasa sokoni shilling ngap?
 
Habari zenu,

Natafuta mayai ya kisasa kwa Bei ya jumla Kama trei 100 kwa week. Nachukua kwa Bei ya shamba ya Sasa au ikizidi basi iwe kiasi kidogo ambacho naweza kukimudu.

Tuwasiliane kwa namba 0712790639

Asante
yapo mengi mayai ya mnyama gani
 
Back
Top Bottom