Natafuta mayai kisasa

Natafuta mayai kisasa

Political stability

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
905
Reaction score
1,410
Wakuu habari,

Natafuta mtu wa kuniuzia mayai ya kisasa, kwa bei ya jumla,

Nitakuwa nachukua trei 100, kila week,

offer yangu kuanzia 6000 - 6300..kwa trei.

Location: Nipo kimara , 07450 98 591

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Vyakula vya kuku vimepanda bei ghafla sana, hauwezi kupata kwa bei hiyo, hata elfu8 sidhani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom