Natafuta mawakala wa canal +

Natafuta mawakala wa canal +

Wapo jamaa wengi tu hapa bongo wanafanya kuwalipia watu. We watatfte tu kwenye nyuzi za fts chanel utawapata. Hata moe ndio wanaonilipia ila usiombe nikupe nenda kwenye nyuzi za chanel za fta zipo humu utawaona wanajieleza.

Sawa Mkuu
 
Back
Top Bottom