Canal + ndo nini?
Canal+ is a French premium cable television channel launched in 1984. It is 100% owned by the Canal+ Group, which in turn is owned by Vivendi SA. The channel broadcasts several kinds of programming, mostly sports.Unencrypted programming can be viewed free of charge on Canal+ and on satellite on Canal+ Clair.[/QUOTE said:hapo mkuu nimepapenda,hebu tupe uzoefu wako wewe uliyekitumia japo kwa muda mfupi,ni kweli kuna free channels zinazoonekana ikiwa hujalipia? Na je kina channel nzuri za movie na music?
wanatumia jina parabolistic wacheki fb au instagram watakusaidiaNimeuziwa na kufungiwa king'amuzi cha Canal + hivi karibuni na nimeunganishwa mwezi mmoja bure.
Swali langu ni je baada ya kipindi hicho kumalizika wapi naweza Kwenda lipia mkoani Dar es Salaam?
Maana Yule aliyenifungia namba yake ya simu niliipoteza.
Asante mkuu ngoja nijaribu
Ukijibiwa usisahau kunitag tafadhali.Gharama ya kufungiwa ni kiasi gani na malipo ya mwezi sh ngapi?!
Hahaaaa....harufu ni ya kupigwa siyo? Je nani atapigwa mtoa mada au wanao reply?Huu Uzi una harufu sio nzuri
kuna watu wanatafutwa na watapigwa tu.Hahaaaa....harufu ni ya kupigwa siyo? Je nani atapigwa mtoa mada au wanao reply?
Wanakufungia kwa shilingi laki mbili tu, na gharama ya Kila Mwezi ni shilingi 55,000
ShtukaChannel zipi unapata haswa za mpira
Shtuka
Kwa hiyo hicho King'amuzi chao utakipeleka wapi?Nimedadisi nimeambiwa kuwa hapa DSM Hawana any authorized member. Registration zote pamoja na hayo Malipo ya Kila Mwezi vinafanyika hukohuko Rwanda, na sio vinginevyo.
Pia channel zao zote ni za lugha ya Kifaransa tu, hakuna English wala Swahili.
Wapo jamaa wengi tu hapa bongo wanafanya kuwalipia watu. We watatfte tu kwenye nyuzi za fts chanel utawapata. Hata moe ndio wanaonilipia ila usiombe nikupe nenda kwenye nyuzi za chanel za fta zipo humu utawaona wanajieleza.Natafuta rafiki au jamaa wa hukohuko Rwanda au Burundi awe ananifanyia Malipo ya Mwezi