kido madini
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 223
- 144
Wakuu, natafuta matairi ya kichina hivyo wauzaji jitokezeni naimani wanaohitaji watakuwa wengi pia.
Ndio ya baiskeli za watoto wako!Matairi ya ndege au ya baiskeli za watoto.
MATAIRI YANAYOTAFUTWA NI YA GARI LAKINI YAWE YA WAZEEE WA BAJETIWakuu, natafuta matairi ya kichina hivyo wauzaji jitokezeni naimani wanaohitaji watakuwa wengi pia.
Ndio ya baiskeli za watoto wako!
Mkuu hasira za maisha yako unazileta hapa jukwaaniNyie ndo mnasababisha shule za Kata zionekane hazina waalimu na hazikuwafundisha vizuri,unatafuta tairi za gari ndogo, kubwa size 13,14,15..... 22. Au ya Trekta?,usiweke tangazo Kama unajifunza kufanya biashara.Ukipewa nafasi kwenye shughuli yoyote au harusi utangaze biashara yako waweza ongea hizo bangi ulizoongea hapo juu tu?
We naona unajifunza kutumia mitandao, mpaka sasa hujaelewa kinachopungua kwenye tangazo lako mbaya zaidi unajifanya unajua Sana kumbe mweupe.NARUDIA TENA UNATAKA TAIRI ZA GARI KUBWA, DOGO, SIZE 13,14,15..... 22.5 , NAMAANISHA SIZE ZA SUZUKI CARRY, PASSO, RAV 4, CANTER, YUTONG, AU TRACTOR?,AU hujui unachotaka umesikia tairi za kichina ni dili Sana bila kuuliza vizuri umekimbilia jamii forums kurusha tangazo?,. *Hapo kwenye herufi kubwa ili uelewe vizuri.Mkuu hasira za maisha yako unazileta hapa jukwaani
Km adam na hawa walikula apple watu wapo na akili km zako je wangekula pilipili ingekuaje nawaza kwa sauti
Mtu huna hata biashara ya sambusa unataka kuuza vitu kwa hisia peleka huko
Haya wewe una tairi saizi gani huu uzi upo too general kwa ajili ya kesho na keshokutwa
245/7016We naona unajifunza kutumia mitandao, mpaka sasa hujaelewa kinachopungua kwenye tangazo lako mbaya zaidi unajifanya unajua Sana kumbe mweupe.NARUDIA TENA UNATAKA TAIRI ZA GARI KUBWA, DOGO, SIZE 13,14,15..... 22.5 , NAMAANISHA SIZE ZA SUZUKI CARRY, PASSO, RAV 4, CANTER, YUTONG, AU TRACTOR?,AU hujui unachotaka umesikia tairi za kichina ni dili Sana bila kuuliza vizuri umekimbilia jamii forums kurusha tangazo?,. *Hapo kwenye herufi kubwa ili uelewe vizuri.