Natafuta masoko ya vitambusho

Natafuta masoko ya vitambusho

Joined
Jul 4, 2016
Posts
18
Reaction score
4
Habar wana jamii forum,



Ninaitwa HAASAN AKILIMALI , Ninafanya shughuli za designing na nikiwa nimejikita na utengenezaji wa vitambulisho na busnescards katika mashule na taasisi tofauti tofauti,



Nimependa ku share biashara hii kwa sababu si mbaya tukatengeneza pesa kwa wewe kufahamiana na mtu ambae ninaweza fanya nae kazi,



Kwality ya vitambulisho ni PVC yaani ni sawa na malighafi zinazotumika kutengenezea LESENI YA UDEREVA, KADI YA KURA na KADI YA BENKI,



Bei yangu ni nafuu ambayo ni sawa na Shilingi 4000 nami nitatoa (1000) kwa kila kitambulisho kimoja kama utanikutanisha na mtu anae hitaji hadi kufanya nae kazi,



Kwa mengine zaidi tutaongea

Ninaishi

Sinza - Dar es salaam

# 0713 275 193



Ninategemea ushirikiano kutoka kwenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom