Anthony Kabeho
Member
- Apr 12, 2018
- 72
- 38
Habarini wakuu,
Ningependa kupata wauzaji wa machine za kusaga na kukoboa nafaka kama mahindi na mpunga.
Mwenye ABC kuhusu huu Uzi anisaidie contact zao ili niweze kutimiza my plan.
Asante ni sana