Dingswayo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 4,019 Reaction score 2,931 Dec 4, 2016 #1 Natumaini mu wazima Wakuu. Natafuta mashine ya kufyatulia matofali ya 'interlocking'. Anayefahamu yanapo patikana naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani na nawatakia siku njema.
Natumaini mu wazima Wakuu. Natafuta mashine ya kufyatulia matofali ya 'interlocking'. Anayefahamu yanapo patikana naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani na nawatakia siku njema.