Natafuta mashine ya kutolea vumbi

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Heshima kwenu wote.
Nina hitaji kununua mashine ya kutolea vumbi kwenye madirisha aluminum au mafundi kompyuta huitumia pia,hiyo mashine inatumia umeme na hupuliza upepo kwa kazi.
NB.Nimesahau jina lake,ila naamini nimeeleweka.
Mwenye nayo aje PM na details na bei yake.
Asanteni.
 
inaitwa electric blower
nenda kkoo makutano ya mtaa wa lindi na sikukuu, zipo nyingi na bei tofauti from 45k mpaka 120k
 
Asante mkuu,mm nipo mkoani,mwenye uwezo wa kunisaidie aje tafadhali!
 
Mikoani ukienda maduka makubwa ya hardware au ya vifaa vya umeme unapata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…