Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,766
- 16,901
salama wakuu,
Kuna mtu anahitaji mashine ya kutengeneza popcorn.
iwe size ya kati kwa matumizi ya kutengeneza popcorn za biashara.
Nipo dar yeyote mwenye kujua inakowwepatikana na bei zake tafadhali naomba anijuze na ani-PM namba tuweze kuwsiiliana.
Asanten