Natafuta mashine ya kutengeneza peanut butter

lucy apolo

New Member
Joined
Feb 7, 2021
Posts
3
Reaction score
0
Kwa yeyote anayejua sehemu zinapouzwa hizi machine na bei husika ni wapi naweza kuzipata
 
Asante
 
Kwa yeyote anayejua sehemu zinapouzwa hizi machine na bei husika ni wapi naweza kuzipata
Wasiliana na ofisi za Sido zilizopo karibu yako, kama Upo Dar es salaam wanapatinana Nyerere Road karibu na Jet.
 
Ninazo mashine nilipata kutoka EFTA, ni mashine kubwa Imara, nakuuzia bei ya used, kama upo interested nichek pm
 
karibu Tanzaniadeveloper kwa mwenye kampuni ya kutoa mikopo au kikundi au chama cha kuchangishna nikutengenezee system ya kuomba mkopo online kwenye kikundi chochote. Tumia simu yako ya kinganjani kuomb mkopo kiulaisi zaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…