K kikaniki JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 508 Reaction score 979 Feb 12, 2024 #1 Wadau..natafuta mashine ya kutengeneza/kukata crips za ndizi. Mashine iwe ya umeme na iwe inafaa kwa mjasiriamali mdogo. Isiwe heavy duty. Mwenye connection naomba contact za wauzaji.
Wadau..natafuta mashine ya kutengeneza/kukata crips za ndizi. Mashine iwe ya umeme na iwe inafaa kwa mjasiriamali mdogo. Isiwe heavy duty. Mwenye connection naomba contact za wauzaji.
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,760 Reaction score 3,858 Jul 11, 2024 #3 Tuwekee ulichokua unatumia kabla ya kununua mashine
K kidumba Member Joined Aug 16, 2013 Posts 77 Reaction score 79 Jun 17, 2025 #4 Habari mkuu unatengeneza cripsi?