Mashine zinapatikana bure bila hata shilingi.Kama hupo dar nenda kariakoo stendi ya tegeta uliza kwa dereva tax ofisi za premier betting then ukifika hapo watakupa maelekezo.KM UWE NA BARUA YA MAOMBI HUO UWAKALA NA BARUA 2 za wadhamini zikiwa na passport size 2 kwa kila mdhamini.
WAWEZA KUOMBA MWEZI HUU WA SABA UKAJA KUIPATA DECEMBER.maombi ni mengi sana but HUSIKATE TAMAA.
jamani nataka nianzishe hii biashara sasa sijajua upatikanaji wake na zinapatikana kwa sh ngapi, kama kuna mzoefu atujuze.
natanguliza shukrani
eeenh bwana mkuu, ndo fursa hizi
Mashine zinapatikana bure bila hata shilingi.Kama hupo dar nenda kariakoo stendi ya tegeta uliza kwa dereva tax ofisi za premier betting then ukifika hapo watakupa maelekezo.KM UWE NA BARUA YA MAOMBI HUO UWAKALA NA BARUA 2 za wadhamini zikiwa na passport size 2 kwa kila mdhamini.
WAWEZA KUOMBA MWEZI HUU WA SABA UKAJA KUIPATA DECEMBER.maombi ni mengi sana but HUSIKATE TAMAA.
anhaa shukrani na vip mimi wakala nafaidikaje au unalipwa mwisho wa mwezi?