Mkuu nenda pale Magereza Ukonga wanatengeneza hizi tofali wanaweza kukupa details wapi utazipata hizi tofali bila kusahau na swala zima la utengenezaji wake
Naombeni kujuzwa pa kuzipata hizi mashine...na bei zake. Wengi wao wanaouza mitandaoni janja janja nyingi + hawako straight.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827]
Nahofia hata hapa unaweza kukutana nao..!