Ninayo lakini kwa bajeti hiyo tafuta SAN LG zile pikipiki za Kichina mkuu utapata na chenji itarudi uwekee mafuta mwaka mzima. Itakusaidia kwa mishemishe za town mkuu. Hiyo bajeti ni ya kuwekea mafuta kwa miezi 6 tu mkuu, haitoshi kununulia hata magurudumu mapya!