Natafuta marafiki

Sagao

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
10
Reaction score
5
Natafuta marafiki wa jinsia zote wenye umri kati ya 25-40 popote duniani. Sina ubaguzi wa dini wala kabila. E-mail yangu ni sagaonew@gmail.com mail zote zitajibiwa kwa muda mfupi. Naitwa Luna Sanga.
 
duuhhh samahani muheshimiwa niko nje ya umri wako.....
 
wapo wengi tu utawapata, pia tuma gazeti la tanzania daima, nipashe, mwananchi na rai... utakua na wengi hadi utachoka:doh:
 
Si lazima utaje umri, unaweza sema 10-12, 16-18, 20-22, 22-24, 50-52, 70-72 etc.
hata hiyo range sitaki kusema nenda kwenye PM yako
utakuta nimekutumia kati ya ipi na ipi...
 
Mi nakuandikia hapa hapa kwamba ningependa kua rafiki yako!Ila umri wako usipungue 26!Uwe na kazi na mpenzi pia!
 
Binafsi ninapenda kuwa na marafiki wengi zaidi kuliko maadui hapa duniani.Kwa maana hiyo,unakaribishwa
Tuwasiliane kupitia:kiuyajibu@jamiiforums.com.
 
Ungesema rafiki wa kibiashara mimi ungenipata,kwa sababu nyie wakinga ndo wenyewe kwa bidii ktk utafutaji !!!!!!!
 
Binafsi ninapenda kuwa na marafiki wengi zaidi kuliko maadui hapa duniani.Kwa maana hiyo,unakaribishwa
Tuwasiliane kupitia:kiuyajibu@jamiiforums.com.

mkuu umetoa Email inayoonyesha uhusiano wa wewe na jf naogopa matapeli. Ila nita ku pm mkuu.
 
Natafuta marafiki wa jinsia zote wenye umri kati ya 25-40 popote duniani. Sina ubaguzi wa dini wala kabila. E-mail yangu ni sagaonew@gmail.com mail zote zitajibiwa kwa muda mfupi. Naitwa Luna Sanga.

me nadhani urafiki ni kitu kinachokuja automatic.hakiombwi.
labda hawa wa huku mtandaoni.
 
natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo, mimi ni kijana wa kiume, mtz....check me +5511987686993
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…