cathy14 Member Joined Apr 11, 2014 Posts 37 Reaction score 23 Jun 24, 2014 #1 Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM
Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM
Samvurah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 545 Reaction score 547 Jun 24, 2014 #2 Niko hapa rafiki
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,761 Jun 25, 2014 #3 cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... haya twaja cathy14 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... haya twaja cathy14
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,458 Reaction score 986 Jun 26, 2014 #4 Huo uarafiki unaousema hapa ukifika PM unageuka nakuambia, labda sio jf ninayoijua mimi
MatikaC JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,190 Reaction score 479 Jun 26, 2014 #5 unahitaji marafiki wa ukweli au wa uongo? please fafanua
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,303 Reaction score 829,360 Jun 26, 2014 #6 cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... Mmh watu wako busy na changamoto za maisha, shule watoto familia nk sidhani kama watapata huo muda wa kubadilishana mawazo na kuanza kutengeneza urafiki!! Mayb wapo
cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... Mmh watu wako busy na changamoto za maisha, shule watoto familia nk sidhani kama watapata huo muda wa kubadilishana mawazo na kuanza kutengeneza urafiki!! Mayb wapo
soul provider JF-Expert Member Joined Jun 21, 2014 Posts 1,346 Reaction score 2,160 Jun 26, 2014 #7 cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... Welcome frnd,, let's hav a fun.. NiPM plz
cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... Welcome frnd,, let's hav a fun.. NiPM plz
A Arnold lupenza Member Joined Jun 18, 2014 Posts 5 Reaction score 1 Jun 26, 2014 #8 tupo cathy ujue ktk maish unajifunza meng pale unapoktana na watu tofaut
M Mashimba1 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 814 Reaction score 303 Jun 26, 2014 #10 cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... Huwa wanaanzaga hivo hivo mwisho wanabadilishana kila kitu.
cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... Huwa wanaanzaga hivo hivo mwisho wanabadilishana kila kitu.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jun 26, 2014 #11 Wasalimie PM
Malafyale Platinum Member Joined Aug 11, 2008 Posts 13,895 Reaction score 11,288 Jun 27, 2014 #12 cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... Nime ku PM tayari!Naomba namba yako nikupigie tafadhali!Nipo Dumila-Morogoro
cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... Nime ku PM tayari!Naomba namba yako nikupigie tafadhali!Nipo Dumila-Morogoro
s.crony JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 1,286 Reaction score 465 Jun 27, 2014 #13 count me on....@ Cathy14
7 7 5 mm JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 352 Reaction score 200 Jun 27, 2014 #14 cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... mtaan kwako hakuna marafiki? Kama umeshindwa kudumisha urafiki na watu wa karibu utawezaje wa mbali? Au njia ya kutafuta mchepuko hvyo
cathy14 said: Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM Click to expand... mtaan kwako hakuna marafiki? Kama umeshindwa kudumisha urafiki na watu wa karibu utawezaje wa mbali? Au njia ya kutafuta mchepuko hvyo
The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,172 Jun 27, 2014 #15 Mie urafiki wetu usiwe na mipaka tu,if ok.karib
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Jun 27, 2014 #16 Hata mm nataka rafk wa kupeana sapot humu ndan.bas mm na wewe tuwe marafk.mm n mdada
Mchumba JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 280 Reaction score 262 Jun 27, 2014 #17 Urafiki wa kiurafiki au ule mwingine??