Kaisi saidi
Member
- Feb 18, 2014
- 10
- 0
Tafuta hela kijana. Jumatatu yote hii unasaka urafiki?
atafute hela au aende shule?! kiswahili chenyewe kuandika tabu.
Mkuu, hiyo ni website ama ni email address?
Ama I need a new pair of glasses labda sioni vizuri.
nashukuru kwa kunijuza ok muda simlefu nitarudi shule. na hataninyi co vyote kuwa mnavijua kuna vingi tu hamvijui. kuhusu email. nilishakuwa nayo lakini kwa bahati mbaya ilifungiwa.napia elimu ni bahari mimi na ninyi wote tunajifunza usilolijuwa ww mm nalijuwa.na nisilolijuwa mm ww unalijuwa. kiswahili ni lugha yetu lakini ukifwatilia kwa kina hakuna hata mtanzania mmoja wetu anae ongea kiswahili fasaha. karibuni marafiki zangu.