Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

Kaisi saidi

Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Natafuta rafiki mme aumke wa kuchat nae mdawowote.kuchangia mawazo,kujadiri mada mbalimbali zihusuzo maisha. karibuni sana marafiki zangu. ukalimu kwetu ni asiri yetu. idumu africa idumu tanzania.

Natafuta marafiki www.kaisisaidi9@gmail,com.
 
Tafuta hela kijana. Jumatatu yote hii unasaka urafiki?
 
kwa mtindo huu taifa kuendelea itakuwa vigumu sana. kuandika kwenyewe hujui bado unatafuta marafiki.
ebu nenda shule huko
 
atafute hela au aende shule?! kiswahili chenyewe kuandika tabu.

Mkuu, hiyo ni website ama ni email address?

Ama I need a new pair of glasses labda sioni vizuri.
 
si ndio kale katoto kalkopata division 4 ya49 so kapo home tu et kanataka kampan ya kuchat muda wote.

kama huna job njo ata uwe housemaid wang
 
si ndio kale katoto kalkopata division 4 ya49 so kapo home tu et kanataka kampan ya kuchat muda wote.

kama huna job njo ata uwe housemaid wang
 
nashukuru kwa kunijuza ok muda simlefu nitarudi shule. na hataninyi co vyote kuwa mnavijua kuna vingi tu hamvijui. kuhusu email. nilishakuwa nayo lakini kwa bahati mbaya ilifungiwa.napia elimu ni bahari mimi na ninyi wote tunajifunza usilolijuwa ww mm nalijuwa.na nisilolijuwa mm ww unalijuwa. kiswahili ni lugha yetu lakini ukifwatilia kwa kina hakuna hata mtanzania mmoja wetu anae ongea kiswahili fasaha. karibuni marafiki zangu.
 
Haka kajamaa kamelewa nn....
Katafute marafiki Mombasa wapo kibao
 
nashukuru kwa kunijuza ok muda simlefu nitarudi shule. na hataninyi co vyote kuwa mnavijua kuna vingi tu hamvijui. kuhusu email. nilishakuwa nayo lakini kwa bahati mbaya ilifungiwa.napia elimu ni bahari mimi na ninyi wote tunajifunza usilolijuwa ww mm nalijuwa.na nisilolijuwa mm ww unalijuwa. kiswahili ni lugha yetu lakini ukifwatilia kwa kina hakuna hata mtanzania mmoja wetu anae ongea kiswahili fasaha. karibuni marafiki zangu.

usiache radh kijana hapa uwaonao wote humu tumarafiki hata wewe urafiki yetu pia.kuhusu kuchat labda ujaribu kwa majirani zetu fb,2go,
 
Back
Top Bottom