Mambo, Habari zenu wanafamilia, naitwa Colins, mkaka umri wa miaka 33, mjasiliamali na muajiriwa. Ninapendelea kusafiri, kutembea, mazoezi, mpira wa miguu, kuogelea, volleyball na kusafiri. Pia muziki na movies. Rafiki no mtu awaye yote yawezekana akawa ndugu m mtu ambaye mnakutanishwa kwa njia...