Mamii nakujibu kama mwanaume nikiwa kwenye mazingira yangu ya kujidai.
Mwanamke nisiyempenda akinipenda na nikaonyesha kua simpendi akazidi kunipenda kifuatacho ni kumtumia.
Katika namna ambayo hakuwahi kuifikiria kama inawezekana, kila utumbo ambao nitajisikia kuufanya kitandani nitafanya naye.
Wakati wote huo nitakua siwi wa kwanza kupiga simu, sijibu sms kwa wakati labda kama kuna kitu nataka. Hautaona nikikujali iwe kiuchumi au hata kwa vitu mbali na kiuchumi.
Hoja yangu ni kua: Achana na mwanaume ambaye hajali hisia zako.