Natafuta marafiki nipo moshi

Mungu AkUSAIDIE sanaa
Unapita kipindi kigumu SANAA

pale unapoona jamii au watu wako wa karibu wanakutenga au kuona hueleweki na Hali yako
soln Ni Yesu. PEKEE
kata shauri!

hakika utaleta ushuhuda mzuir na kuwa baba Bora na mzuri wa badae

Bado maisha unayo Kama kijana!
Hujachelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…