Natafuta mama kuanzia miaka 34 awe mke wangu

Wanawake umri huo ndo matatizo yao, jaribu kumvumilia, na ili awe na uchungu na hiyo hela, mpe majuku ambayo atakuwa anatumia pesa yake, and if una biashara basi mlipe mshahara na mpangie majukumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom