The bump JF-Expert Member Nov 22, 2019 1,186 2,044 Dec 26, 2023 #1 Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu. Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje? nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya cocacola ila naombeni mwenye connection pa.kuyapata na namna naweza yamiliki niweke dukani kwangu. Kama ni bure ila mzigo unanunua,Nipo tayari naombeni kuunganishwa na wahusika kwa wanaowajua.
Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu. Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje? nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya cocacola ila naombeni mwenye connection pa.kuyapata na namna naweza yamiliki niweke dukani kwangu. Kama ni bure ila mzigo unanunua,Nipo tayari naombeni kuunganishwa na wahusika kwa wanaowajua.
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 13,463 23,662 Dec 26, 2023 #2 kwani zile si huwaga wanaweka taa za mikanda mkuu...?
The bump JF-Expert Member Nov 22, 2019 1,186 2,044 Dec 26, 2023 Thread starter #3 fundi bishoo said: kwani zile si huwaga wanaweka taa za mikanda mkuu...? Click to expand... yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu. mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote.
fundi bishoo said: kwani zile si huwaga wanaweka taa za mikanda mkuu...? Click to expand... yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu. mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote.
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 13,463 23,662 Dec 26, 2023 #6 The bump said: yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu. mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote. Click to expand... aaah sawa mkuu ila tusubiri wakulungwa labda wana info zozote
The bump said: yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu. mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote. Click to expand... aaah sawa mkuu ila tusubiri wakulungwa labda wana info zozote
The bump JF-Expert Member Nov 22, 2019 1,186 2,044 Dec 26, 2023 Thread starter #7 Wauza Simu wa JF mlioko K.KOO njooni basi