Natafuta makaa ya mawe

Natafuta makaa ya mawe

Jahlex

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
512
Reaction score
604
Natafuta mtu au kampuni inayoweza kusuply 100kg za makaa ya mawe kila baada ya siku saba.
Kwa biashara zaidi njoo PM sasa hivi nikupe utaaratibu.
Aksante.
 
Check na wanaosupply kwenye viwanda vya cement dar,watakuletea au nenda mgodini yanapotoka then tafuta tipper mnahesabiana kilometers anakuletea.Mimi nitahitaji baadae kwa ajili ya kufulia UMEME na kutengenezea mkaa,najipanga kwanza

Aksante kwa ushauri....changamoto ni kuwapata hao suppliers wa viwandani sasa.

Nafikiri wao ndo changamoto kuwapata wateja,nenda viwanda vya cement utakuta malori mengi tu watakupa muongozo mzima.

Aksante ngoja nianzie hapa Twiga Cement nitaleta mrejesho
Nafikiri wao ndo changamoto kuwapata wateja,nenda viwanda vya cement utakuta malori mengi tu watakupa muongozo mzima.
 
Natafuta mtu au kampuni inayoweza kusuply 100kg za makaa ya mawe kila baada ya siku saba.
Kwa biashara zaidi njoo PM sasa hivi nikupe utaaratibu.
Aksante.
Vipi ulishapata makaa ya mawe
 
Nafikiri wao ndo changamoto kuwapata wateja,nenda viwanda vya cement utakuta malori mengi tu watakupa muongozo mzima.
Huyu bwana dau lake dogo, makaa ya mawe kwa tz ndio yanatafuta wateja
 
Back
Top Bottom