Natafuta maid/ housegirl

Kristin

Member
Aug 26, 2009
65
0
HABARI ZENU WAPENDWA,

natafuta yaya/ maid wa kulea mtoto wa miaka 4 wa kike.
kama unataarifa zozote tuwasiliane hapa au hata kwa pm
sifa zake;
awe na umri usiopungua miaka 25
makazi ni Arusha.
awe ni wa kuishi hapohapo
wazazi ni waajiriwa
salary 80,000- 100,000.
awe mchapa kazi sio mpaka asukumwe, awe anapenda kulea watoto, asiwe muhuni awe anajyejiheshimu.

tafadhali nawasilisha
thanks.
 

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,774
2,000
Mie naitafuta kazi kama hiyo vipi nitakufaa?

Kama sitakufaa nakushauri kuwa makini ili umpate yaya mwelevu na mwamini
 
Top Bottom