NATAFUTA MAHALI PAKUFANYA INTERNSHIP/ FIELD

NATAFUTA MAHALI PAKUFANYA INTERNSHIP/ FIELD

sangaima

Member
Joined
May 16, 2023
Posts
77
Reaction score
104
Kwa jina naitwa Ahmad ni kijana, mkazi wa mkoa wa Dar es salaam, nina Diploma in Public sector accounting & Finance natafuta mahali pakufanya internship katika kada ya accounting. Iwe sector binafsi ama serikali nitashukuru, kwa yeyote atakae guswa kunisaidia atanipata katika mawasiliano haya: 0658845007 asante.
 
1000187245.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom