Natafuta mahali pa kuuza hisa zangu

Natafuta mahali pa kuuza hisa zangu

KENNY JEEZY

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
271
Reaction score
279
Habari wakuu.

Kuna hisa zinataka kunidodea, sasa nimefikia uamuzi wa kuziuza lakini cha ajabu kila broker ninayemfatilia yupo Dar es Salaam na mimi kwa sasa nipo Arusha.
Je ni wapi nitaweza kwenda kuziuza.
 
Poor you! Unasema hisa zinataka kukudodea, then unataka watu wanunue! Be smart, don't be a dumb pimp!
 
Poor you! Unasema hisa zinataka kukudodea, then unataka watu wanunue! Be smart, don't be a dumb pimp!
Unaweza kufikiri vizuri lakini hauwezi kufikiri sawa na mtu mwingine. Kumbuka hilo.
Sio kila anayetaka kununua anataka kupata faida baada ya muda mfupi
Pia kushuka kwa bei za hisa ni moja kati ya fulsa adhimu ambayo wanunuzi husubiri
Fikiri mara mbili mkuu
 
Back
Top Bottom