B Bi.com Member Joined Apr 21, 2015 Posts 46 Reaction score 15 May 20, 2015 #1 Ninazo fremu zangu na cherehani kama ishirini hivi. Natafuta mafundi ili tufanye kazi. Pia naplan kufungua chuo cha kufundisha wanafunzi kushona, nahitaji wafanyakazi. NiPM tuongee.
Ninazo fremu zangu na cherehani kama ishirini hivi. Natafuta mafundi ili tufanye kazi. Pia naplan kufungua chuo cha kufundisha wanafunzi kushona, nahitaji wafanyakazi. NiPM tuongee.
mseseve JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 511 Reaction score 89 May 20, 2015 #2 nyoosha maelezo unatafuta mafundi cherehani wa kukutengenezea vyerehani au unatafuta mafundi wa kushona nguo.....
nyoosha maelezo unatafuta mafundi cherehani wa kukutengenezea vyerehani au unatafuta mafundi wa kushona nguo.....
B Bi.com Member Joined Apr 21, 2015 Posts 46 Reaction score 15 May 21, 2015 Thread starter #3 Natafuta mafundi wa kushona nguo mkuu
Anita Baby JF-Expert Member Joined Oct 2, 2011 Posts 1,265 Reaction score 542 May 21, 2015 #4 mshahara sh. ngapi na iko sehem ya kazi wap?
R rechungura1 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 387 Reaction score 130 May 21, 2015 #5 fundi mzoefu wa cherehani na mzoefu wa kufundisha wanafunzi wa ushonaji anapatikana hapa 0787756592 au email muniruyusuphu@gmail.com
fundi mzoefu wa cherehani na mzoefu wa kufundisha wanafunzi wa ushonaji anapatikana hapa 0787756592 au email muniruyusuphu@gmail.com
O Ochugu Member Joined Feb 15, 2015 Posts 35 Reaction score 12 May 22, 2015 #6 Kaka nicheki hapa kuna fund ni mzur sana wa nguo Za aina zote 0657319196
K KTZ Member Joined Feb 3, 2018 Posts 14 Reaction score 5 Apr 9, 2018 #7 Natafuta fundi mzoefu wa kushona nguo aina zote, nataka kuanzisha tailoring mart. So nahitaji fundi wa kukaa naye akanipa mwongozo ili twende pamoja.
Natafuta fundi mzoefu wa kushona nguo aina zote, nataka kuanzisha tailoring mart. So nahitaji fundi wa kukaa naye akanipa mwongozo ili twende pamoja.
L Loteka Member Joined Feb 17, 2018 Posts 32 Reaction score 13 Apr 9, 2018 #8 KTZ said: Natafuta fundi mzoefu wa kushona nguo aina zote, nataka kuanzisha tailoring mart. So nahitaji fundi wa kukaa naye akanipa mwongozo ili twende pamoja. Click to expand... Mnapatikana maeneo gani ,, mkpa gani?
KTZ said: Natafuta fundi mzoefu wa kushona nguo aina zote, nataka kuanzisha tailoring mart. So nahitaji fundi wa kukaa naye akanipa mwongozo ili twende pamoja. Click to expand... Mnapatikana maeneo gani ,, mkpa gani?
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,633 Sep 24, 2021 #9 Jamani ni nani mwenye kuhitaji fundi wa kushona nguo za kike,kuna bint yupo vizuri katika ushonaji,yupo dar
Jamani ni nani mwenye kuhitaji fundi wa kushona nguo za kike,kuna bint yupo vizuri katika ushonaji,yupo dar