Natafuta madini ya lulu

Jamani anajua madini ya lulu yanapatikana wapi anijuze
NA MIMI NIMEWAHI KUULIZA HAKUNA HATA MTU YEYOTE ALIESEMA AMEWAHI KUYAONA. mwisho kabisa nilipewa jibu eti ni kitu chochote cha thamani kubwa kwako yaani ndio lulu. ebo nikashangaa sana maana hata nikiwa mtoto watu husema kulinganisha thamani kwa lulu. KUMBE HAWAJAWAHI KUIONA . ALIYEIONA ATUWEKEE HATA KAPICHA HUMU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom