General Jealous
Member
- Oct 6, 2015
- 28
- 11
Habari familia!.. Kama kichwa cha habari kilivyoeleza ningependa kujua bei za mazao sokoni na watu pekee wanaojua ni madalali nipo moro nimelima nyanya na mazao mengine tofauti... Naomba kama kuna madalali wa mazao ni pm tufanye kazi.
Nimewasilisha[emoji4]
Nimewasilisha[emoji4]