Timbwilimbiz
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 201
- 174
Upo wapi?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Nafuta mashine ya kukandia ng'ano
Yenye uwezo wa kukanda kilo 30 hadi 50.
Naomba yoyote mwenye kujua wapi zinapatikana hizo machine na bei yake.
Please anifanyie wepesi
Ahsanteni kwa kuusoma uzi huu
Ungekuwa uko Dar ningekuelekeza duka linalouza hizo bidhaa lakini kwa Arusha sijui.Niko A town mkuu
Hata Mimi nahitaji Niko Kilimanjaro but ninatarajia kwenda dar mwezi ujao, so zinapatikana kariakoo maeneo gani?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Nafuta mashine ya kukandia ng'ano
Yenye uwezo wa kukanda kilo 30 hadi 50.
Naomba yoyote mwenye kujua wapi zinapatikana hizo machine na bei yake.
Please anifanyie wepesi
Ahsanteni kwa kuusoma uzi huu
Kariakoo maeneo gani? Hata Mimi nahitaji.Niagize kkoo nikununulie nikutumie
Ungekuwa uko Dar ningekuelekeza duka linalouza hizo bidhaa lakini kwa Arusha sijui.
OK, lkn c vibaya ukinielekeza tuUngekuwa uko Dar ningekuelekeza duka linalouza hizo bidhaa lakini kwa Arusha sijui.
Nahitaji Sana Masada wako lakini sio kirahisi ivyoNiagize kkoo nikununulie nikutumie
OkNahitaji Sana Masada wako lakini sio kirahisi ivyo
Ok Kariakoo mtaa wa Masasi, opposite na kanisa la KKKT Kariakoo kuna duka pale linauza vifaa vya bakery.OK, lkn c vibaya ukinielekeza tu
Kwa sababu dar kuna ndugu na jamaa wanaweza kunifanyia kaz hiyo
Please ni Muhimu sana
Nimeshika tenda Mahalia fulani
Mwelekeze duka hata kama lipo Dar inawezekana ana ndugu au rafiki yupo huko akamwagiza
Asante kwa directionKuna duka moja posta nyuma ya xtelecom building wana kila kitu kwaajiri ya jikoni
Asante Sana nduguOk Kariakoo mtaa wa Masasi, opposite na kanisa la KKKT Kariakoo kuna duka pale linauza vifaa vya bakery.
Vipi ndugu tupe mrejesho ulifanikiwa?Asante kwa direction
Asante Sana ndugu