Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 282
- 455
Natafuta machine mbili (manual) za kufyatulia matofali Dar es Salaam
Za interlocking unazo?wasiliana na mimi machine za matofali 0656015564
Ipo moja mpya kabisa Kimara Dar...Za interlocking unazo?
Naomba kujua formula ya kuchanganya udongo wa kutengenezea hizo tofali za interlocking na namna inavyosave cement wakati wa ujenziIpo moja mpya kabisa Kimara Dar...
Tsh. 500,000
Nipigie: 0688382415
nenda sido ndugu yangu bei nafuu...........Natafuta machine mbili (manual) za kufyatulia matofali Dar es Salaam