Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 590
- 1,029
Habari zenu wana jamvi
Mi naishi Dar-es-salaam , natafuta mtu mwenye mabanda au eneo ambalo hatumii kwa sasa ili anikodishie nianzishe mradi wa ufugaji wa nguruwe na kuku liwe na maji itakua vizuri .Nitakuja kupaangalia ili tuelewane ,anagalau nilitumie kwa mwaka mmoja
Unaweza kuni pm contacts zako na kunijulisha eneo liko wapi ,pia na bei
Asanteni