Natafuta mabanda ya kufugia kuku ya kukodi

HR CONSULTANT

Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
76
Reaction score
8
Wadau,

Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa nyama mkubwa kuku 1000 mpaka 5000.

Natafuta sehemu ya kukodi kwaajiri ya kufugia, iwe na mabanda au nyumba nayoweza kujenga mabanda. nitapendelea zaidi pembeni ya mji
 
WADAU,

NATAKA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA MKUBWA KUKU 1000 MPAKA 5000.

NATAFUTA SEHEMU YA KUKODI KWAAJIRI YA KUFUGIA, IWE NA MABANDA AU NYUMBA NAYOWEZA KUJENGA MABANDA. NITAPENDELEA ZAIDI PEMBENI YA MJI

Mkuranga je?
 
Wadau,

Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa nyama mkubwa kuku 1000 mpaka 5000.

Natafuta sehemu ya kukodi kwaajiri ya kufugia, iwe na mabanda au nyumba nayoweza kujenga mabanda. nitapendelea zaidi pembeni ya mji
Mabanda ninakodisha Tegeta masaiti yapo mawili yenye uwezo ya kuweka Kuku 1300 kila moja.nakodisha kwa laki 2 kwa mwezi. Hio bei Ni pamoja na chumba cha pembeni kijana atakapolala wakati anasimamia Kuku. Mabanda yapo ndani ya eneo ninapoishi so yapo secure ndani ya ukuta.maji ya dawasco na umeme upo tayari ila atakapoanza mradi wa kuku hizo ni gharama atakazolipia kwa kuligana na matumizi yake kwa mwezi. Chicken drinkers na feeders zipo pia kama atazikodisha.
 
Mabanda ninakodisha Tegeta masaiti yapo mawili yenye uwezo ya kuweka Kuku 1300 kila moja.nakodisha kwa laki 2 kwa mwezi. Hio bei Ni pamoja na chumba cha pembeni kijana atakapolala wakati anasimamia Kuku. Mabanda yapo ndani ya eneo ninapoishi so yapo secure ndani ya ukuta.maji ya dawasco na umeme upo tayari ila atakapoanza mradi wa kuku hizo ni gharama atakazolipia kwa kuligana na matumizi yake kwa mwezi. Chicken drinkers na feeders zipo pia kama atazikodisha.whattsap 0756661761 or call 0678884320
 
Nakucheki mkuu
 
Mabanda ninakodisha Tegeta masaiti yapo mawili yenye uwezo ya kuweka Kuku 1300 kila moja.nakodisha kwa laki 2 kwa mwezi. Hio bei Ni pamoja na chumba cha pembeni kijana atakapolala wakati anasimamia Kuku. Mabanda yapo ndani ya eneo ninapoishi so yapo secure ndani ya ukuta.maji ya dawasco na umeme upo tayari ila atakapoanza mradi wa kuku hizo ni gharama atakazolipia kwa kuligana na matumizi yake kwa mwezi. Chicken drinkers na feeders zipo pia kama atazikodisha.
Contact whattsap 0756661761. Or call 0678884320
 
Back
Top Bottom