Nunua online dogo!
Zipo kits zilizokamilia kabisa....
Wewe nenda Amazon au Ebay,omba mtu mwenye credit card akununulie then umrudishie hela yake aliyotumia....
Kwa mtu unaependa sayansi zidhani kama Amazon au Ebay zitakushinda ni very easy!
Mzigo utakuja kwa EMS directly kwako!
Au hata kabla hujanunua,chat na muuzaji umueleze address yako ya Tanzania hata kama ha-ship TZ umuombe a-ship utamuongezea hela kwenye payment yake!
Hua hawana shida ukishaongea nao na wakakubali!
Good luck!