Poleni na majukumu wakuu.
matumaini yangu mungu yi pamoja nasi.
Natafuta logo designer atakayeweza kudesign logo yangu.
Kuhusu logo:
Jina ni Nyarugusu.
Size: instagram profile, twitter4, facebook na website size.
Logo hii naitumia kwenye tovuti ya kuuza biashara mtandaoni.
Logo hii nahitaji design ya jina tu na sio kuongeza picha.
Logo hii unaruhususiwa kutengezeneza kwa idea yako.
Logo hii inahitaji iwe na jua ndani ya maandishi, mishele ikiwa kama inachomoza kuazia kulia mpaka mwisho kushoto na hiyo mishale iwe na rangi tofauti kama blue, green red na gold.
NB: logo yangu nahitaji iwe ya maandishi na ndani ya maandishi hayo kuwe na jua ambalo linachomoza inatoa mishale kuanzia kulia kwenda kushoto na ile mishele inayochomoza iwe na rangi tofauti, blue, green, red na gold.
*Designer unatakiwa utengeneze kwanza sample na bei yako.
Au unaweza kunionyeesha sample ya kaz zako na bei yako
Namba ya whatsap ni
Asante