Natafuta line ya Tigopesa, Airtel money

Natafuta line ya Tigopesa, Airtel money

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta line hizo kwa mpendwa anayehitaji ujira mdogo kwa kazi hiyo. Sina pesa nyingi za kununua line hizo, nitafurahi zaidi kupata line hizi kwa majina yangu.

Asanteni.
 
Zinatafutwa siyo inatafutwa, samahani kwa usumbufu.
 
Kama utahitaji mashine ya maxmalipo nitakupatia kwa 450000 tu

Call. 0732 000 001
 
Check me with 0718-654070 zote utapata kwa majina yako na nafuu zaidi
mkuu nimejitahidi sana kukupigia hupatikani, nimetuma msg wapi ila baadae ikaingia napiga simu haiopatikani.
 
Back
Top Bottom