Natafuta lg g2 mwenye nayo Niko kobondo kigoma

kkkt

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
364
115
Natafuta simu tajwa hapo juu mwenye nayo plz bei ni makubaliano nawasilisha.....!
 
Kuna uzi wa wauza smart phone mkuu, hebu elekea kule utaletewa cm mpaka sebuleni kwako
 
Natafuta simu tajwa hapo juu mwenye nayo plz bei ni makubaliano nawasilisha.....!
Wasalimie hapo kwa kina Gwamagobe, Pia peleleza kuna shule moja inaitwa malagarasi, kuna mwalimu mmoja pale anaitwa Cosmas umwambie aache kupiga piga mateke, makofi, ngumi nk watoto wa watu.
 
Hahahahaha
 
In hii ynye ram ya 2gb na 4g au
RAM 2gb
Internal Storage 8gb
4g lte
Back camera 13mpx
Front camera 8mpx
Battery 3000mph
Color metalic silver
Ina crack kidogo kqenye touch screen ambayo haionekani
Dual sim card
Knock dock code
 
Npe wasap nmba yako
 
Umeshaanza mashara
Mkuu....masihara gani umeyaona hapa??? Nimesema siwezi kukupa namba tangu ya WhatsApp hapa....nimekupa namba yangu nyingine ya simu....nipigie ama ni beap nikupe namba utakayoweza kuwasiliana nami WhatsApp. Tena nikakupa info kuwa usije ukatuma sms kwa hii namba 0731 000 001 kwan haisapoti sms. Ni simu ya kupiga na kupokea tu. Umejaribu kunipigia mkuu??? Wap nimeweka masihara???
 
Aya bas sawa mkuu naona unahasra za karibu samahni nlfkr ndo walewale wamajaribu nnaowajua humu mi nko siriaz ntaka cm iyo
 
Hata mm niko seriously na hiyo pesa. Wala sina hasira hata kidogo. Nimeweka namba naona hupigi unaiogopa. Weka namba zako nikupigie now.
 
Back
Top Bottom