Natafuta Lasta za jumlajumla <prima / abuja/ angle>

Natafuta Lasta za jumlajumla <prima / abuja/ angle>

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,383
Habarini!

Nataka kujua mchanganuo mzima juu ya bei za lasta za jumlajumla,,
kuanzia bei ya dozen na ya mfuko mzima mmoja wa lasta.
Pia muxmum hela ya kuanzia biashara hiyo
pia mtu wa kuweza kuniconnect na wauzaji hao...
 
Aisee niliulizia kiwandani wakasema inabidi uanze na mzigo wa million tano.
Pia unaweza ukachukua kariakoo bei Ni 1000-1100 hapo katikati.
 
nikawa najiuliza, lasta?!!...ni rasta ndugu (*maximum) anyway, sijui bei za rasta kwa bei ya jumla
 
Habarini!

Nataka kujua mchanganuo mzima juu ya bei za lasta za jumlajumla,,
kuanzia bei ya dozen na ya mfuko mzima mmoja wa lasta.
Pia muxmum hela ya kuanzia biashara hiyo
pia mtu wa kuweza kuniconnect na wauzaji hao...
Uko upande gani wa nchi ndugu,nilikua na duka la kuuza hizo rasta nikafunga ,nina unsold stock,pia nafahamiana na wauzaji wa brand zote ambao nilikua nachukulia mzigo kwao kariakoo.Kama una lolote nitumie msg (PM) tumalize habari hizi.Karibu ndugu!
 
Asanteni wote kwa michango
 
Back
Top Bottom