Samedi Amba JF-Expert Member Nov 13, 2018 227 178 Feb 15, 2020 #1 Hello wanajamvi, Natafuta PHP Developer wa kuteam naye muda mrefu. Lazima awe na portfolio inayoeleweka, na awe na angalau muda usiopungua masaa 15 kila wiki. Ni freelance agency. Ukiwa na vigezo ni PM.
Hello wanajamvi, Natafuta PHP Developer wa kuteam naye muda mrefu. Lazima awe na portfolio inayoeleweka, na awe na angalau muda usiopungua masaa 15 kila wiki. Ni freelance agency. Ukiwa na vigezo ni PM.
Mama Debora JF-Expert Member Aug 30, 2018 1,482 2,582 Mar 6, 2020 #2 Nimechelewa kuona tangazo. Basi tena, haikua mchongo wangu.