K kashaato Member Dec 26, 2013 76 4 Dec 27, 2013 #1 Natafta laptop kat ya hp,dell,toshiba yenye hd gb kuanzia 160 na kuendelea processor 1/2gb mwenye nayo ani PM
Natafta laptop kat ya hp,dell,toshiba yenye hd gb kuanzia 160 na kuendelea processor 1/2gb mwenye nayo ani PM
M Mundu JF-Expert Member Sep 26, 2008 2,707 638 Dec 27, 2013 #3 Nenda Kinondoni Biafra, wametangaza kwa Wapo Radio...zauzwa hadi za kilo moja...zatoka USA... Kwa maelezo zaidi itegee sikio redio hiyo...
Nenda Kinondoni Biafra, wametangaza kwa Wapo Radio...zauzwa hadi za kilo moja...zatoka USA... Kwa maelezo zaidi itegee sikio redio hiyo...
K kashaato Member Dec 26, 2013 76 4 Dec 27, 2013 Thread starter #4 Mundu said: Nenda Kinondoni Biafra, wametangaza kwa Wapo Radio...zauzwa hadi za kilo moja...zatoka USA... Kwa maelezo zaidi itegee sikio redio hiyo... Click to expand... Poa poa ndugu ila kwa pale Biafra duka lao liko sehem gan?
Mundu said: Nenda Kinondoni Biafra, wametangaza kwa Wapo Radio...zauzwa hadi za kilo moja...zatoka USA... Kwa maelezo zaidi itegee sikio redio hiyo... Click to expand... Poa poa ndugu ila kwa pale Biafra duka lao liko sehem gan?
chaUkucha JF-Expert Member May 28, 2012 3,382 1,208 Dec 29, 2013 #6 Pesa yenyewe ndogo unaweka na specification kabisa we ungetangaza tu laptop yoyote!
Big 32 Member Dec 18, 2013 55 1 Dec 29, 2013 #7 ka uko mbeya piga hii namba 0786584800 ipo laptop ya aina hiyo bayabei hiyo iliyotumika