Natafuta laptop hp isizidi 250000/-

kashaato

Member
Dec 26, 2013
76
4
Natafta laptop kat ya hp,dell,toshiba yenye hd gb kuanzia 160 na kuendelea processor 1/2gb mwenye nayo ani PM
 
Nenda Kinondoni Biafra, wametangaza kwa Wapo Radio...zauzwa hadi za kilo moja...zatoka USA... Kwa maelezo zaidi itegee sikio redio hiyo...
 
Nenda Kinondoni Biafra, wametangaza kwa Wapo Radio...zauzwa hadi za kilo moja...zatoka USA... Kwa maelezo zaidi itegee sikio redio hiyo...

Poa poa ndugu ila kwa pale Biafra duka lao liko sehem gan?
 
Pesa yenyewe ndogo unaweka na specification kabisa we ungetangaza tu laptop yoyote!
 
ka uko mbeya piga hii namba 0786584800
ipo laptop ya aina hiyo bayabei hiyo iliyotumika
 
Back
Top Bottom