Kuna pick up na station Wagon, be specific.Habari ya mchana?!
Natafuta Landlover kama nikivyosema kwenye kichwa cha habari. Serious seller anaweza post hapa picha na maelezo ya ziada pamoja na bei.
Naweza nisiwe mimi tu natafuta. Ukapata soko pia kwa mwingine.
Karibuni wauzaji na watumiaji pia tushare maujuzi kuhusu hii gari ngumu na nzuri kwa matumizi ya safari na rough roads.
Ngoja Arudi Kusawazisha Hitaji LakeKuna pick up na station Wagon, be specific.
CC @Popo-Kuna pick up na station Wagon, be specific.
Santana umetuma Wajina wako. Kuna Land Rover 110 za South Africa kuna toleo lilikuwa linaitwa Land Rover 110 Santana.
Zipo mkuu zifatilie vizuriDaah nilikua sijui Hilo Ila Land rover ndo dream car ntaanza kuifuatilia iyo santana