Natafuta landcruiser hzj hardtop/pick-up

Natafuta landcruiser hzj hardtop/pick-up

TM65TZ

Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
15
Reaction score
0
Nashida na gari aina ya landcruiser hzj 75/78/79 hardtop/pick-up kwenye hali nzuri tafadhali, (sitaki mkebe au ambayo imepiga tindo), tafadhali niandikia email ( bei + picha) yake. Asante
 
kuna moja $42000, hzj79,double cabin,macho panzi......vipi nikupe mchongo?
 
Kweli,kule labda zipo lakini wanuza?? bei?? siyo nasafiri kwenda kule kwa kusikia tumemaliza kuuza :decision: mzee....
 
Ninayp Landcruiser Hardtop, 5 door. 5cylinder.
Diesel, will good condition.
Price- 18m
pm kama upo interested
 
Ninayp Landcruiser Hardtop, 5 door. 5cylinder.
Diesel, will good condition.
Price- 18m
pm kama upo interested

Jamaa kasema PickUp, au unatesi zali kama wasemavyo vijana? lol
 
Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua
 
Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua
<br />
<br />
dah.
 
Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua

Hahahaa, haya mawazo mengine bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom