Natafuta Kushiriki kwenye Biashara

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Wana Jamvi habari,

Kwanza napenda kutoa shukrani zangu kwa mola wetu kutufikisha salama mwaka huu 2016, na kwa wale waliopotelewa na wapendwa wao nawaombea kwa mola wetu mpewe nguvu na kuendelea na shughuli za kila siku.

Nachukua nafasi hii kuwaomba wale ambao wana biashara kubwa na wangependa kushirikiana na mimi (Joint venture) tafadhari naomba tuwasiliane. Biashara ni aina yoyote ya biashara lakiwi iwe halali. Pia itakuwa vizuri inayohusisha eneo la Dar es salaam.

Nawasilisha
 
Mkuu mie sina mtaji lakini nina experience kidogo ya biashara ya karanga.
Mimi nime fanya hii biashara kwa miezi4 nikiwa namsaidia binamu yangu huko kijijini mkoani, tulikuwa tunapeleka kahama ndiyo soko la karanga lilipo. kwa mwaka huu wanasema karanga ni nyingi sana kupita maelezo kwa taarifa ninazozipata, kama wewe mkuu unania ya dhati tunaweza kushilikiana.
 
nimekuelewa, nitumie namba yako ya simu ktk inbox
 
kwa sasa niko nje ya Tz, samahani, nahisi itakuwa gharama kwako kunipigia, ni pm namba yako nikupigie
 
Mkuu mie sina mtaji lakini nina experience kidogo ya biashara ya karanga.
Mimi nime fanya hii biashara kwa miezi4 nikiwa namsaidia binamu yangu huko kijijini mkoani, tulikuwa tunapeleka kahama ndiyo soko la karanga lilipo. kwa mwaka huu wanasema karanga ni nyingi sana kupita maelezo kwa taarifa ninazozipata, kama wewe mkuu unania ya dhati tunaweza kushilikiana.
Mkuu mimi sina biashara yeyote ila nina mpango wa.kufanya biashara ambayo italenga uzalishaji na uuzaji wa bidhaa tutakayo zalisha Hapa naongelea kilimo biashara, Tayari nimepata shamba eneo la mikese morogoro hiyo plan imekosa tu mtaji illi iweze kuanza tafadhari naomba nikutumie e mail yangu nikutumie bussness plan yangu au naomba nitumie e mail yako tuweze kuwasiliana
 
E

mail yangu eernest51@yahoo.com naishi dar es salaam ni kijana wa miaka 25 nimeajiliwa mahali ila kama tutaweza kuanzisha hiyo biashara nitakuwa radhi kuacha kazi baada ya biashara hiyo kusimama na uzuri ni kwamba achukui mda mrefu kusimama ni kama mwaka tu, karibu mkuu
 
mie sina bihashara yoyote ila nina mawazo mazuri ya bihashara....ntakutumia email kwa email adress yako
 
Wana Jamvi habari,

Kwanza napenda kutoa shukrani zangu kwa mola wetu kutufikisha salama mwaka huu 2016, na kwa wale waliopotelewa na wapendwa wao nawaombea kwa mola wetu mpewe nguvu na kuendelea na shughuli za kila siku.

Nachukua nafasi hii kuwaomba wale ambao wana biashara kubwa na wangependa kushirikiana na mimi (Joint venture) tafadhari naomba tuwasiliane. Biashara ni aina yoyote ya biashara lakiwi iwe halali. Pia itakuwa vizuri inayohusisha eneo la Dar es salaam.

Nawasilisha
unapoongerea biahara,zipo nyingi kaka , mii natafuta mtu mwenyemtaji wa lkaki tano tu. nifanye naye biahara ambayo itampa faida ya laki mbili kila mwezi
 
Wana Jamvi habari,

Kwanza napenda kutoa shukrani zangu kwa mola wetu kutufikisha salama mwaka huu 2016, na kwa wale waliopotelewa na wapendwa wao nawaombea kwa mola wetu mpewe nguvu na kuendelea na shughuli za kila siku.

Nachukua nafasi hii kuwaomba wale ambao wana biashara kubwa na wangependa kushirikiana na mimi (Joint venture) tafadhari naomba tuwasiliane. Biashara ni aina yoyote ya biashara lakiwi iwe halali. Pia itakuwa vizuri inayohusisha eneo la Dar es salaam.

Nawasilisha
Wana Jamvi habari,

Kwanza napenda kutoa shukrani zangu kwa mola wetu kutufikisha salama mwaka huu 2016, na kwa wale waliopotelewa na wapendwa wao nawaombea kwa mola wetu mpewe nguvu na kuendelea na shughuli za kila siku.

Nachukua nafasi hii kuwaomba wale ambao wana biashara kubwa na wangependa kushirikiana na mimi (Joint venture) tafadhari naomba tuwasiliane. Biashara ni aina yoyote ya biashara lakiwi iwe halali. Pia itakuwa vizuri inayohusisha eneo la Dar es salaam.

Nawasilisha
Mkuu Mimi Nina kampuni ya Ukandarasi Civil Works &Building Construction nta Ku pm nipo dar kama upo tayali tukakubaliana haina shida tutafanya kazi.
 
Mkuu mie sina mtaji lakini nina experience kidogo ya biashara ya karanga.
Mimi nime fanya hii biashara kwa miezi4 nikiwa namsaidia binamu yangu huko kijijini mkoani, tulikuwa tunapeleka kahama ndiyo soko la karanga lilipo. kwa mwaka huu wanasema karanga ni nyingi sana kupita maelezo kwa taarifa ninazozipata, kama wewe mkuu unania ya dhati tunaweza kushilikiana.
Aisee kama upo tayari tufanye hiyo biashara ya karanga
 
Wana Jamvi habari,

Kwanza napenda kutoa shukrani zangu kwa mola wetu kutufikisha salama mwaka huu 2016, na kwa wale waliopotelewa na wapendwa wao nawaombea kwa mola wetu mpewe nguvu na kuendelea na shughuli za kila siku.

Nachukua nafasi hii kuwaomba wale ambao wana biashara kubwa na wangependa kushirikiana na mimi (Joint venture) tafadhari naomba tuwasiliane. Biashara ni aina yoyote ya biashara lakiwi iwe halali. Pia itakuwa vizuri inayohusisha eneo la Dar es salaam.

Nawasilisha
PM namba yako
 
Back
Top Bottom