HABARI ZENU NDUGU ZANGU
NAOMBA MNISAIDIE KITU KIMOJA NAJITAJI KUNUNUA KUKU WA KIENYEJI ORIGINAL ALIKUANAO AU ANAJUA WAPI NAWEZA KUWAPATA BASI ANISAIDIE KUWAPATA.
SIFA ZA KUKU HAO:
a) wawe wa kienyeji pure na sio machotara
b) wawe ni matetea (tembe)
c) wawe wamepata chanjo zote.
Wawe wanauzwa kwa bei nafuu.
Mtu yeyote ambae anao au anajua wapi naweza kupata basi naomba anipigie sim namba 0715009345 au 0773666991. ahsanteni nawatakia kazi njema.